Play with Elly and collect the coins, shoot enemies and avoid spikes and obstacles, get the best score by surviving as long as you can and share with your friends .
Swahili :
Gemu hili litakusaidia kuongeza kiwango chako cha kufocus na kuongeza kiwango cha utulivu. Kumbuka Gemu hili halihitaji bando unaweza kucheza hata kama hauna Bando .
Share na rafiki yako .